🔥 OFA KUBWA LEO: Usafiri ni Bure Nchi Nzima & Utalipa Mzigo Ukikufikia!
Luxiva Logo
📞 Huduma kwa Wateja / WhatsApp: 0788 220 858

Batana Hair Oil & Mask (The Ultimate Miracle Combo)

95,000 TZS 69,999 TZS

✨ Siri ya Nywele Nene, Ndefu na Zenye Afya ya Kushangaza!

Je, unasumbuliwa na nywele kukatika, mba sugu, ukavu, au edges (nywele za mbele) zilizonyonyoka? Batana Combo ndio suluhisho lako la mwisho! Mchanganyiko huu asilia wa 100% wa Mafuta na Mask ya Batana unalisha nywele kuanzia kwenye mizizi na kuamsha vinyoleo vilivyolala.

  • 🚀 Ukuaji wa Kasi ya Ajabu: Inachochea nywele kurefuka na kujaa haraka zaidi.
  • Anza Kuotesha Upya Edges & Vipara: Inarudisha nywele maeneo yaliyonyonyoka.
  • 💧 Unyevu na Ulaini wa Kudumu: Inaondoa ukavu na ugumu wa nywele mara moja.
  • 🛡️ Sema Bye-Bye kwa Mba na Miwasho: Inasafisha na kulinda ngozi ya kichwa chako.
📦 Chagua Vifurushi Vyako Upate Punguzo:

Jaza Taarifa Zako Hapa Kupokea Mzigo

🎉 Asante sana! Oda yako imepokelewa kikamilifu. Idara yetu ya usafirishaji itakupigia simu sasa hivi kukutumia mzigo wako.
Samahani, kuna hitilafu imejitokeza. Tafadhali jaribu tena au wasiliana nasi moja kwa moja kwa simu: 0788 220 858

✨ Jinsi ya kutumia Mchanganyiko wa Batana

Matokeo Halisi ya Wateja Wetu (Kabla na Baada)

Matokeo ya Kukuza edges

Ukuaji wa Edges (Mbele)

Matokeo ya Kujaza Nywele

Kujaza Nywele Zilizonyonyoka

Matokeo ya Kuzuia Upara

Kuzuia Upara na Kujaza Kati

Ushuhuda Kutoka kwa Wateja Waliotumia

⭐⭐⭐⭐⭐

"Nywele zangu za mbele zilikatika kabisa baada ya kusuka rasta za kuvuta. Nilijaribu mafuta mengi bila mafanikio, lakini baada ya kutumia hii Batana Combo kwa wiki tatu tu, edges zimeanza kurudi kwa kasi! Mask yake inalainisha sana."

Grace M. Mteja Aliyethibitishwa
⭐⭐⭐⭐⭐

"Mume wangu alikuwa anaanza kupata kipara cha katikati, nikamnunulia hii combo. Kiukweli nywele zimeacha kukatika na sasa hivi kile kipara kimeanza kuzibika na nywele mpya nyeusi. Bidhaa nzuri sana."

Shamsa H. Mteja Aliyethibitishwa
⭐⭐⭐⭐⭐

"Sikutarajia matokeo ya haraka hivi. Nywele zangu zilikuwa ngumu kama nyasi, lakini nikiosha na ile mask na kupaka mafuta, zinakuwa laini na rahisi kuchana. Hazikatiki kabisa sasa hivi. Asanteni sana Luxiva!"

Neema J. Mteja Aliyethibitishwa